Ndama dume
JF-Expert Member
- Nov 1, 2019
- 858
- 1,493
Mkuu hiyo gari hapana kabisa mkuu inakunywa utafikiri imezaliwa jangwaniBMW zinakula mafuta vizuri sana
Ulichukua M3?Mkuu hiyo gari hapana kabisa mkuu inakunywa utafikiri imezaliwa jangwani
Basi ngoja umenifumbua macho nitaitafuta hii kitu na vipi lakin inatembea au ndio mwendo wa harusi mkuu maana wengine hapa ni kumwagika tuUlichukua M3?
Tafuta 3 series utaipenda
Uje utupe shule siku moja kwenye hili. Maana tumekalilishwa sana.BMW zinakula mafuta vizuri sana
Hivi kwa mfano X3, X5, X6 kweli hizi ngoma hazili mafuta?Uje utupe shule siku moja kwenye hili. Maana tumekalilishwa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja wataalam waje watupe shuleHivi kwa mfano X3, X5, X6 kweli hizi ngoma hazili mafuta?
Habari za jioni kama ambavyo kichwa cha habari hapo juu kinasomeka nahitaji gari ndogo ya kukodi naendesha mwenyewe gari iwe nzima na tair nzima maana ni kwa ajili ya masafa ya mikoani wewe mwenye gari unaona lipo tu halina matumizi sana na upo Iringa na unajuwa gari yako ipo vizuri kwa masafa karibu
Angalizo kwa gari hizi usinitafute landcruiser vx ,prado, BMW, na magari yote yenye kula wese sihitaji
Karibu PM tuyajenge
Nataka mkuu basi sitaki nimechoka kama unalo njoo tuyajengeUnataka gar ya kukodi af masharti kibaoo,mara isile wese,mara iwe na speed,unataka ile nn? Unajua bei ya spea ww? Au unadhan gar n punda? We panda bas gar hutaiweza
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeshawahi kumiliki gar? Je,likipata tatizo utaligaramia zirakua juu ya nani? Na nitakuamini vip kwamba u mtu mwema,hutaenda kulifanyia uhalifu? Ninalo kwa siku nataka lakNataka mkuu basi sitaki nimechoka kama unalo njoo tuyajenge
Wapo watu wengi wanaonifahamu na ikiwa linatoka kwako zima nitagharamikia mwenyewe likipata shida likiwa kwangu, bei siwezi kukubali kuwa tayari kutoa laki au la mpaka nijue ni aina ya gari gani na je hata ikitokea limepata tatizo uwezo wa kuhimili spear zake zipo vipi, kama kweli una gari na upo serous kwa hili njoo PM.Umeshawahi kumiliki gar? Je,likipata tatizo utaligaramia zirakua juu ya nani? Na nitakuamini vip kwamba u mtu mwema,hutaenda kulifanyia uhalifu? Ninalo kwa siku nataka lak
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna pesa ww! Kapande bus!Wapo watu wengi wanaonifahamu na ikiwa linatoka kwako zima nitagharamikia mwenyewe likipata shida likiwa kwangu, bei siwezi kukubali kuwa tayari kutoa laki au la mpaka nijue ni aina ya gari gani na je hata ikitokea limepata tatizo uwezo wa kuhimili spear zake zipo vipi, kama kweli una gari na upo serous kwa hili njoo PM.
Tofauti na hapo utakuwa hujaamua na sitakujibu chochote hapa tena
We ndio huna kitu zaidi sana ni dalali nisingekuwa na hela ningetoa Tangazo la kutaka gari, au unaongea na makalio tu mdomo umeziba
Cbishan na mtu aliyetatuliwa marinda! Endelea kunifata fata tuWe ndio huna kitu zaidi sana ni dalali nisingekuwa na hela ningetoa Tangazo la kutaka gari, au unaongea na makalio tu mdomo umeziba
Ayawazayo mtu ndio yalioujaza moyo wake
Ayawazayo mtu ndio yalioujaza moyo wake
Sasa kwa taarifa yako gari nimepata na niyamaana zaidi na tayari nipo nayo safarin nyumbu weweTatizo unaforce,nani atakupa gar yake? Au unadhan gar n baiskel?? Ka vp nunua lako acha kun'ang'ania ya wanaume! Ukiendelea kunifata fata ntakutatua marinda kwa mara ingine
Sent using Jamii Forums mobile app