zincobinyo
Member
- Mar 21, 2015
- 23
- 20
Habari wadau,
Nahitaji gari ya kukodi kwa siku elfu 25 yenye cc ndogo 1500 kushuka chini, kwa matumizi binafsi sio biashara, kwa mwezi mmoja, kama mabadiriko ya kikazi yakitokea nitaongeza mkataba.
Napatikana Dar.
Mawasiliano 0683069444.
Sent using Jamii Forums mobile app