Gari ya kukodi inatafutwa

The Tactician

Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
18
Reaction score
3
Habari zenu wakuu,

Nahitaji kukodi gari zifuatazo kwa ajili ya mizunguko ya hapa na pale ndani ya jiji la Dar es Salaam.

Yoyote mwenye moja kati ya hizi au zote kwa pamoja naomba aipost gari hapa tujadili au anicheki kupitia +255627315218 niione gari, kisha tu jadili gharama na maandikishano.

NB: Gari iwe katika hali nzuri, yaani iwe "Roadworthy".

Karibuni
 
Tangazo halijakamilika mkuu, ofa yako? Dereva atakuwa mmiliki wa gari au wewe?
 
Kuna makampuni mengi tu wanakodisha magari (car rentals)


Watafute instagram
 
Kuna makampuni mengi tu wanakodisha magari (car rentals)
View attachment 2437183

Watafute instagram
Kitu sikipendi bongo unalipa hela unaambiwa unapewa na dereva yaani kila unachofanya mtu ajue hapana aisee, fungeni GPS tu inatosha sana kufuatlia gari lako ila niache mteja nifurahie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…