Gari ya kisasa kwa bei poa kabisa

Gari aina ya Toyota Gx _200 v8 ya mwaka 2008 cc 4461 low mileage kw bei poa kabisa mil 95 mazungumzo kidogo sn yanaruhusiwa.kwa aliye serious apige 0625_838430
 
Huyu Magufuli ni hattlari asee, heshima inarudoi mjini.
Mkuuu matola wewe utakua ni mhindi hki kiswahili chako hakitaki ujinga kabisaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwa atakayetangaza nakuleta mteja atapat commission nzuri tu tutaelewana.bei ni nzuri kwa wanaojua hayo magari ninepunguza zaidi ya robo tatu ya bei halisi. Karibuni.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…