T The atlantic JF-Expert Member Joined Aug 1, 2023 Posts 560 Reaction score 954 Jul 31, 2026 #1 Eti wakuu kuna zile toyota hardtops za serikali ambazo zimepata ajali na kuharibika, zingine zimekaa hapo muda mrefu mtu hawezi kuuziwa akatengeneze? Wakuu nahitaji fupa la kumalizia angalau linisaidie kwenye shughuli zangu.
Eti wakuu kuna zile toyota hardtops za serikali ambazo zimepata ajali na kuharibika, zingine zimekaa hapo muda mrefu mtu hawezi kuuziwa akatengeneze? Wakuu nahitaji fupa la kumalizia angalau linisaidie kwenye shughuli zangu.
Kisima Platinum Member Joined Oct 8, 2010 Posts 4,792 Reaction score 6,550 Jul 31, 2026 #2 Haziuzwi kama nyanya sokoni. Subiri ziwe disposed kwenye mnada wa serikali ndo upambanie kununua. Meanwhile, andaa kibunda huku ukisikilizia mnada.
Haziuzwi kama nyanya sokoni. Subiri ziwe disposed kwenye mnada wa serikali ndo upambanie kununua. Meanwhile, andaa kibunda huku ukisikilizia mnada.
T The atlantic JF-Expert Member Joined Aug 1, 2023 Posts 560 Reaction score 954 Jul 31, 2026 Thread starter #3 Kisima said: Haziuzwi kama nyanya sokoni. Subiri ziwe disposed kwenye mnada wa serikali ndo upambanie kununua. Meanwhile, andaa kibunda huku ukisikilizia mnada. Click to expand... Hiyo minada inakuwaga lini maana kuna moja iko hapa magereza huku niliko yaani naitamani kishenzi na kibunda huwa ni kuanzia how much
Kisima said: Haziuzwi kama nyanya sokoni. Subiri ziwe disposed kwenye mnada wa serikali ndo upambanie kununua. Meanwhile, andaa kibunda huku ukisikilizia mnada. Click to expand... Hiyo minada inakuwaga lini maana kuna moja iko hapa magereza huku niliko yaani naitamani kishenzi na kibunda huwa ni kuanzia how much