Jamani ninataka kuagiza gari Toyota D4D Double Cabin na nina kiasi cha Tshs 20 Milion Shillings (Including gharama za usafiri na kodi). Kwa mwenye uzoefu naombeni msaada iwapo ninaweza kupata. Kama nitapata, kampuni ipi? Kama sipati altenative ninini?