Kama uko Dar nikuelekeze kwa BekaHabarini wanajukwaa, gari yangu SUZUKI ESCUDO G16, Milango mitatu ASUBUHI ukiiwasha inawaka na KUZIMA, MPAKA urudie kama Mara kumi ndipo iwake na kukaa silence, na ukipandisha silence lazima ishuke ,tatizo kubwa ni wakati wa usiku ukiwasha taa hata kama umepaki lazima izime au ukiwasha ac lazima izime au ukipandisha kioo inazima, sijui shida iko wapi???? Naomba usaidizi.
SUZUKI ESCUDO G16, Milango mitatu!!Habarini wanajukwaa, gari yangu SUZUKI ESCUDO G16, Milango mitatu ASUBUHI ukiiwasha inawaka na KUZIMA, MPAKA urudie kama Mara kumi ndipo iwake na kukaa silence, na ukipandisha silence lazima ishuke ,tatizo kubwa ni wakati wa usiku ukiwasha taa hata kama umepaki lazima izime au ukiwasha ac lazima izime au ukipandisha kioo inazima, sijui shida iko wapi???? Naomba usaidizi.
Habarini wanajukwaa, gari yangu SUZUKI ESCUDO G16, Milango mitatu ASUBUHI ukiiwasha inawaka na KUZIMA, MPAKA urudie kama Mara kumi ndipo iwake na kukaa silence, na ukipandisha silence lazima ishuke ,tatizo kubwa ni wakati wa usiku ukiwasha taa hata kama umepaki lazima izime au ukiwasha ac lazimaizime au ukipandisha kioo inazima, sijui shida iko wapi???? Naomba usaidizi.
Naamini ikikubali kuwaka kutembea inakua na mlio wa tofauti pia? Basi, shida itakua ni alternator na soon inaeza ikazima kabisa isiwake. Kwa hyo chukua tahadhari usitoke nayo umbali mrefu likakuzimikia ukoHabarini wanajukwaa, gari yangu SUZUKI ESCUDO G16, Milango mitatu ASUBUHI ukiiwasha inawaka na KUZIMA, MPAKA urudie kama Mara kumi ndipo iwake na kukaa silence, na ukipandisha silence lazima ishuke, tatizo kubwa ni wakati wa usiku ukiwasha taa hata kama umepaki lazima izime au ukiwasha ac lazima izime au ukipandisha kioo inazima, sijui shida iko wapi?
Naomba usaidizi.