Gari ukiwasha asubuhi kuzima mpaka urudie mara kumi ndiyo liwake

Se-qu-el

JF-Expert Member
Feb 20, 2013
236
113
Habarini wanajukwaa, gari yangu SUZUKI ESCUDO G16, Milango mitatu ASUBUHI ukiiwasha inawaka na KUZIMA, MPAKA urudie kama Mara kumi ndipo iwake na kukaa silence, na ukipandisha silence lazima ishuke, tatizo kubwa ni wakati wa usiku ukiwasha taa hata kama umepaki lazima izime au ukiwasha ac lazima izime au ukipandisha kioo inazima, sijui shida iko wapi?

Naomba usaidizi.
 
Habarini wanajukwaa, gari yangu SUZUKI ESCUDO G16, Milango mitatu ASUBUHI ukiiwasha inawaka na KUZIMA, MPAKA urudie kama Mara kumi ndipo iwake na kukaa silence, na ukipandisha silence lazima ishuke ,tatizo kubwa ni wakati wa usiku ukiwasha taa hata kama umepaki lazima izime au ukiwasha ac lazima izime au ukipandisha kioo inazima, sijui shida iko wapi???? Naomba usaidizi.
Kama uko Dar nikuelekeze kwa Beka
 
Nina gari ina shida kama hiyo pia inakuwa inatetemeka hata ukipandisha na kushusha kioo ni kama inakosa nguvu
 
Habarini wanajukwaa, gari yangu SUZUKI ESCUDO G16, Milango mitatu ASUBUHI ukiiwasha inawaka na KUZIMA, MPAKA urudie kama Mara kumi ndipo iwake na kukaa silence, na ukipandisha silence lazima ishuke ,tatizo kubwa ni wakati wa usiku ukiwasha taa hata kama umepaki lazima izime au ukiwasha ac lazima izime au ukipandisha kioo inazima, sijui shida iko wapi???? Naomba usaidizi.
SUZUKI ESCUDO G16, Milango mitatu!!
Hivi kwenu hakunaga mafundi gari?
 
Habarini wanajukwaa, gari yangu SUZUKI ESCUDO G16, Milango mitatu ASUBUHI ukiiwasha inawaka na KUZIMA, MPAKA urudie kama Mara kumi ndipo iwake na kukaa silence, na ukipandisha silence lazima ishuke ,tatizo kubwa ni wakati wa usiku ukiwasha taa hata kama umepaki lazima izime au ukiwasha ac lazimaizime au ukipandisha kioo inazima, sijui shida iko wapi???? Naomba usaidizi.

Kwa tatizo la kusumbua kuwaka asubhhi. Temperature sensor mojawapo au EGR (kama ipo) inaweza kuwa kimeo.

Kuhusu gari kujipandisha RPM inawezekana valve inayocontrol Idle speed (sailensa) ni kimeo. Na kama ni nzima basi huwa tunaset sailensa kwa mashine na inakaa.

Kuhusu gari kuzima ukiwasha mfumo wowote wa umeme hapo inawezekana kuna shida kwenye Aternator yako.

Anyway upo mkoa gani? Maana na mm nmekuja mkoani mara moja.
 
Habarini wanajukwaa, gari yangu SUZUKI ESCUDO G16, Milango mitatu ASUBUHI ukiiwasha inawaka na KUZIMA, MPAKA urudie kama Mara kumi ndipo iwake na kukaa silence, na ukipandisha silence lazima ishuke, tatizo kubwa ni wakati wa usiku ukiwasha taa hata kama umepaki lazima izime au ukiwasha ac lazima izime au ukipandisha kioo inazima, sijui shida iko wapi?

Naomba usaidizi.
Naamini ikikubali kuwaka kutembea inakua na mlio wa tofauti pia? Basi, shida itakua ni alternator na soon inaeza ikazima kabisa isiwake. Kwa hyo chukua tahadhari usitoke nayo umbali mrefu likakuzimikia uko
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom