TheGodfather95
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 1,764
- 1,836
Picha za ndani mkuu
Yani gari ya 2005 inauzwa 9M
Kwanini usipige picha hapo uibandike? Yani mtu atoke Mtwara mpaka hapo Bukoba kuja kuangalia ndani ya Noah ya mwaka 2005?Mkuu ndani Sina picha ila ukihitaji unawez kuja angalia.
Kwanini usipige picha hapo uibandike? Yani mtu atoke Mtwara mpaka hapo Bukoba kuja kuangalia ndani ya Noah ya mwaka 2005?