(gari) terios inauzwa

(gari) terios inauzwa

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
7,307
Reaction score
3,415
gari aina ya terios inauzwa bei tsh 3,900,000 ni used ipo katika hali nzurii imetembea km 170.000 haili kabisa mafuta.
anayehitaji au kwa mawasiliano zaidi nicheki na pm au noo 0714061310

Photo0035.jpg

Photo0036.jpg
 
Weka uwezo wa injini, year of make, picha za ndani na peripherals nyingine kama RADIO, DVD/CD players.
 
Imewahi kupata ajali yoyote? Vipi hiyo taa kubwa ya upande wa kulia?
 
ishawahi kupata ajali mkuu ndio ikapelekea mpk hiyo taa upande huo wa kulia unaounna kuvunjika,radio haifanyi kazi na ni cc 660
 
A/C inafanya kazi?
AC pia haifanyi kazi ila redio sometime huwa inafanya kazi ikijisikia kama ina mawenge flani hivi so mnunuaji kuna vitu viwiili atatakiwa abadilishe kamaanataka luxurious car a/c pamoja na radio
 
Kama hivyo ndivyo nisikudanganye kwa hali ya gari yako ilivyo na kwa bei hiyo kumpata mteja ni majaliwa. Bado hatujajua baada ya ajali hiyo injini ikoje.

Inabidi mnunuaji ajiandae na kama Milioni tano kwa hesabu za haraka haraka ili hiyo gari iweze kufikia viwango vya kukaa barabarani.
 
Duh!

Kwamba hiyo gari utainunua kwa 9m. Hapo ukute na road licence imeisha, bima na matairi....
 
na kwanini unaiuza,mara ya mwisho kulipia tra ilikuwa mwaka gani?
 
Duh!

Kwamba hiyo gari utainunua kwa 9m. Hapo ukute na road licence imeisha, bima na matairi....
Unajua mkuu kwa kawaida kabla ya gari kuingizwa sokoni, muuzaji inabidi kwanza afanye marekebisho ambayo yanaweza kushusha thamani ya gari husika, maana hata rangi ikiwa imekwanguliwa tu unaweza kudhani ni kitu kidogo lakini sokoni it matters alot.

Sasa huyu mheshimiwa gari lake halina AC, RADIO,Taa moja ya mbele haipo na pengine mfumo wa umeme unataka marekebisho. Sasa hapo unafikiri bila kuwa na hela ya kutosha unaweza kulinunua hilo na kufikia kulipaki maegesho.
 
mkuu bei yangu siyo ya supermarket inaweza kushuka kama mtu ataonyesha kweli nia road license na bima vyote bado viko active,mfumo wa umee hausumbui gari nzima kabiisa tatizo ni hiyo taa moja ya mbele,but inawaka na inafanya kazi vizuri,a/c pamoja na radio, basi vyengine vyote viko sawa
 
Anyway nia yangu ilikuwa ni kuongoza mjadala kwa faida ya wanunuzi watakaokuja. Bila shaka wateja wako watakuwa wamepata ujumbe.
 
asante mkuu najua hilo ndio maana nikaamua kufunguka ili mtu walau apate details kidogo,kwa sasa ndio nalitumia so halna shida,
 
hahahaah mkuu lugha za kibiashara hizo inakula ila sio sana ukilinganisha na magari mengine
Nilishangaa! ni kweli cc660 ulaji wake ni mdogo sana. vp spea za hiyo gari zinapatikana? na bei za spea ni 'fea'?
 
yah spea za kumwaga aa kuna toyota walinunua hii model wakatoa gari zao za toyota cami zinafanana kila kitu so spea za kumwaga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom