Mkuu nilipost hapa nahitaji gari kwa 5ml....japo hilo ni milango mitatu....si haba kama halijapataga ajali.....tulifanyie inspection kwa dau hilo.......
Musishangae hilo shipa lilikuwa la shirika so lishamfanya vibaya anatafutwa wakumfia we tangia lin uchafu kama huo ukawa namba c....!!!!!!??????
Sio kama limenunuliwa kwenye mnada mwaka juzii
Kauze screper mtaa wa lindi ebu ondoa uchafu wako hapa