Gari Suzuki Vitara inauzwa

La Pronto

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
965
1,141
Milango mitatu,manual and 4wheel drive.....Ipo kwenye hali nzuri kabisa.......ni namba C.
Bei mil 8.5 maelewano yapo
mawasiliano zaidi 0782 446722
 

Attachments

  • IMG_20150907_210712[2].jpg
    IMG_20150907_210712[2].jpg
    126.7 KB · Views: 357
  • IMG-20150907-WA0033[1].jpg
    IMG-20150907-WA0033[1].jpg
    92.4 KB · Views: 309
  • IMG-20150907-WA0032[1].jpg
    IMG-20150907-WA0032[1].jpg
    81.2 KB · Views: 299
Mkuu nilipost hapa nahitaji gari kwa 5ml....japo hilo ni milango mitatu....si haba kama halijapataga ajali.....tulifanyie inspection kwa dau hilo.......
 
Musishangae hilo shipa lilikuwa la shirika so lishamfanya vibaya anatafutwa wakumfia we tangia lin uchafu kama huo ukawa namba c....!!!!!!??????
Sio kama limenunuliwa kwenye mnada mwaka juzii
Kauze screper mtaa wa lindi ebu ondoa uchafu wako hapa
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom