SectionTwenty
JF-Expert Member
- Aug 3, 2013
- 675
- 614
- Thread starter
- #21
8.2ml cash nichk
Hapana mkuu
8.2ml cash nichk
Kama unauza kwa Dola kwanini usiende kuuzia Marekani we -----?
hahaha poa ntamwambiadu mwambie mwenye hiyo gar anamjengo mkareee
haina maslahiMe niko tayar kukupa 8.2ml fasta kama vp nichk 0715060183
Haya watu endeleeni na biashara,ishuya dolari imeishakuwa sorted out.
Naimani mleta uzi harudii tena kosa hilo.
Kazeni bei mchukue Rav 4 hiyo,roho za paka hizo,maana kama Escudo.
Kuna jamaa yangu alinunua miaka kibao,ameipinda balaa hadi anaibebea mkaa badi inapiga mzigo.
Mkuu ni Manual au Auto hiyo?
Hiyo gari kiwango chake ni 8 - 9 milion unless wewe dalali.
14m unapata pamba mbichi namba D