Mkuu hapo chini nimezungumzia maintenance maana najua kununua si shida ishu ni kuhudumiaNaona umeambiwa Gari Ni mafuta tu; kuna spare na service pia zaweza Kuwa za gharama!
Una budget nzuri Sana; hakikisha unapata watu sahihi Sana kukushauri.
Mkuu hapo chini nimezungumzia maintenance maana najua kununua si shida ishu ni kuhudumia
Li Harrier la kaz gani...Ni kweli, but gri ya cc chini ya 1500 nafikiri Lazima Ni saloon, then that budget ipo Juu kidogo!
Kwa nini usijisogeze a bit over 2000 mfano harrier Tako la na technology yake consumption na service Ni Rahisi?
Nashauri achana na salun car, go for suv, Ila for suv utapanda Juu kidogo cc Zake!
Li Harrier la kaz gani...
Bora achukue Nissan Dualis cc 1900 safi kabisa.
Hizi SUA nachowaza ndo hizo cc nisije nikashindea kuweka mafuta nimewaza chini ya 1500 kwa kua najua nitaweza kupambana service na mafutaNi kweli, but gri ya cc chini ya 1500 nafikiri Lazima Ni saloon, then that budget ipo Juu kidogo!
Kwa nini usijisogeze a bit over 2000 mfano harrier Tako la na technology yake consumption na service Ni Rahisi?
Nashauri achana na salun car, go for suv, Ila for suv utapanda Juu kidogo cc Zake!
Hizi Nissan nasikia zinasumbua usipokua na fundi mzuri na pia vipuriLi Harrier la kaz gani...
Bora achukue Nissan Dualis cc 1900 safi kabisa.
Hawa wa kuwawaza ukiwa umeweka kila kitu sawaMkuu kuna jamaa wanaitwa traffic hao ni zaidi ya mafuta
Hapana bana....Hizi Nissan nasikia zinasumbua usipokua na fundi mzuri na pia vipuri
Alalamike nini wakati unampa kitumbua anajipigia.Hapana bana....
Mbona mchepuko wangu (mume wangu anajuaga ni cousin wangu) anayo mwaka sijui wa nne huu sijaona akilalamika chochote.
Daa, kuchapiwa ni lazima kama ndo hivyoHapana bana....
Mbona mchepuko wangu (mume wangu anajuaga ni cousin wangu) anayo mwaka sijui wa nne huu sijaona akilalamika chochote.
Kwa ushauri vuta Rumion, CC zipo chini almost unayotaka wewe pia inafaa kwa safari na zaidi kwa familia ina space na utafurahia ulaji wake wa mafuta.Natumaini wanajamvi wote ni wazima.
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Kwa siku za usoni natamani na mimi nipate usafari kwa ajili ya matumiz ya familia na mishe za hapa na pale ruti ndefu mara chache sana 1 au 2 kwa mwaka.
Nimejaribu kupitia aina mbali mbali za magari hadi sasa inayonivutia ni premio 2008. Naomba msaada wa mawazo zaidi kuhusiana na hili maana sina uzoefu sana wa hili hata kama ni aina nyingine nipo tayari kupokea mawazo yenu wanajamvi.
Kikubwa nachoangalia ni hy cc maana ikiwa chini ya 1500 najua consumption ya mafuta itakua chini sasa sinajua ipi ni imara kwa mazingira yetu japo naona IST, raum na spacio naoma zipo nyingi sana.
Naomba mwenye msada wa mawazo kwenye hili maana maintenance ni muhimu sana hivyo naangalia ambayo haitanisumbua.
Asante
Mkuu ile naona kama ipo chini sana afu nasikia wanasemq body yake ile ni laini sana(box)Kwa ushauri vuta Rumion, CC zipo chini almost unayotaka wewe pia inafaa kwa safari na zaidi kwa familia ina space na utafurahia ulaji wake wa mafuta.
Depending na technology iliotumika ..1.5L ya premio na 2.0l D4D hazina utofaut mkubwa wa mafuta high way karbu sawa tu ,tena hio ya 2L faida ni more powerNatumaini wanajamvi wote ni wazima.
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Kwa siku za usoni natamani na mimi nipate usafari kwa ajili ya matumiz ya familia na mishe za hapa na pale ruti ndefu mara chache sana 1 au 2 kwa mwaka.
Nimejaribu kupitia aina mbali mbali za magari hadi sasa inayonivutia ni premio 2008. Naomba msaada wa mawazo zaidi kuhusiana na hili maana sina uzoefu sana wa hili hata kama ni aina nyingine nipo tayari kupokea mawazo yenu wanajamvi.
Kikubwa nachoangalia ni hy cc maana ikiwa chini ya 1500 najua consumption ya mafuta itakua chini sasa sinajua ipi ni imara kwa mazingira yetu japo naona IST, raum na spacio naoma zipo nyingi sana.
Naomba mwenye msada wa mawazo kwenye hili maana maintenance ni muhimu sana hivyo naangalia ambayo haitanisumbua.
Asante
Gari za juu ni SUV's bro na kama ishu ni hiyo toa mawazo ya cc ndogo cha msingi sasa ni engine iwe 4cylinder na imara, chek toyota, subaru na mistubish naona zina unafuu kweny spare na service.Mkuu ile naona kama ipo chini sana afu nasikia wanasemq body yake ile ni laini sana(box)
Unaonesha umalaya wako huku jf garageHapana bana....
Mbona mchepuko wangu (mume wangu anajuaga ni cousin wangu) anayo mwaka sijui wa nne huu sijaona akilalamika chochote.