hili kaka kalitelekeze kwenye kituo cha polisi kilicho karibu na wewe kama hutaki kuwauzia watu wa scraper.Hahaha Nimekwambia njoo na fundi wako myfriend...au sema uliko nije nalo.(iwe karibu na mwenge dar)
Hiyo picha inaonesha ulipiga 2013, weka current pictures...jaribu kuwa mbunifu kwny biashara
Ahahaaa..mkuu umeniwahi..!!miaka miwili mingi eti..!!