Mkuu,Gari nissan tiida inauzwa
Bei 4,500,000/-
Inahitaji service,kuweka Engine oil,Gear box oil,kubadilisha filter
Gharama ya fundi kwa service zote unakabidhiwa gari ni 500,000/-
Kwa nini unauza bei rahisi hivyo je Ina tatizo gani
Tuwekee picha basi au tupe link kupatana.comLabda sababu Mimi siyo dalali hii gari ni yangu,angekua dalali hapo angeongeza zake juu,nauza sababu nimenunu gari nyingine hivyo hii inakaa muda mrefu bila kuendesha,sababu hua napaki tu nyumbani,mi ni mtu wa kusafiri safiri safari zangu natumia hii kubwa.
Majibu yako mazuri mkuu. Ila ninavyojua oil ya injini hubadilishwa kila baada ya km kadhaa lakini oil ya gearbox hubadilishwa baada ya muda mrefu. Sasa gari yako ni namba DG bado mpya kabisa. Kwa nini ifanyiwe service zote hizo?Labda sababu Mimi siyo dalali hii gari ni yangu,angekua dalali hapo angeongeza zake juu,nauza sababu nimenunu gari nyingine hivyo hii inakaa muda mrefu bila kuendesha,sababu hua napaki tu nyumbani,mi ni mtu wa kusafiri safiri safari zangu natumia hii kubwa.
Ya kweli hayooo? Nissan gear box nzima kweelii? Sema tatizo nini ili mtu ajue anaanzia wapi. Ina maana ni hizo oil tuuu ulizotajaaa?Labda sababu Mimi siyo dalali hii gari ni yangu,angekua dalali hapo angeongeza zake juu,nauza sababu nimenunu gari nyingine hivyo hii inakaa muda mrefu bila kuendesha,sababu hua napaki tu nyumbani,mi ni mtu wa kusafiri safiri safari zangu natumia hii kubwa.
Hiyo ni report ya checkup,baada ya kuipeleka checkup ndo nikapewa report hiyo mkuu,sasa mimi siyo fundi nikaipokea report,itakua ni vizuri nikakuelekeza kwa jamaa walio fanya checkup ukaione na uulize maswali zaidi kama upo Dar.Majibu yako mazuri mkuu. Ila ninavyojua oil ya injini hubadilishwa kila baada ya km kadhaa lakini oil ya gearbox hubadilishwa baada ya muda mrefu. Sasa gari yako ni namba DG bado mpya kabisa. Kwa nini ifanyiwe service zote hizo?
Ya kweli hayooo? Nissan gear box nzima kweelii? Sema tatizo nini ili mtu ajue anaanzia wapi. Ina maana ni hizo oil tuuu ulizotajaaa?
Kabisa aiseeh. Sijawah kusikia gari ndogo service yake bei kubwa namna hiyo nkahisi mie mshamba. Maana vigari vidogo service haizidigi laki1- 1.2Mkuu,
Ukitaka kuuza gari we uza tu, mambo ya Service waachie wateja.
Maana hii ya kusema Service zote za kuweka Engine oil, Gear box oil, kubadilisha filter na ufundi zinafikia 500,000/= ni kutaka kuwaibia wateja.
MAKE OF VEHICLE =NISSANIla mkuu fanya hivi...
Taja mwaka wa kutengenezwa gari YOM
ukubwa wa injini cc
Status ya vibali vyake
Manual au automatic
Kama bei ni fixed au maongezi yapo
Etc
Kama ina mziki ..sports rim
Hizi ni taarifa za msingi unapouza
Duuh aisee.MAKE OF VEHICLE =NISSAN
MODEL =TIIDA LATIO
TYPE OF BODY =SALOON
C.C =1493
YEAR = 2005
SEAT = 5
TRANSITION =AUTOMATIC
BEI NI FIXED
INAVIBALI VYOTE VYA KUTEMBEA BARABARANI HADI MWAKANI FEBRUARY
huwez kuwa siriazKabisa aiseeh. Sijawah kusikia gari ndogo service yake bei kubwa namna hiyo nkahisi mie mshamba. Maana vigari vidogo service haizidigi laki1- 1.2
Nini mkuu. Mie nnaongelea hivi vi baby walker vyetu sijawah kusikia vinakula service ya pesa hiyo. Labda mie mshamba niambie baadhi zinazofikia hiyo pesahuwez kuwa siriaz