Gari nissan Sunny bei nzuri

Gari nissan Sunny bei nzuri

IzukeneJr

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2012
Posts
758
Reaction score
753
Haina shida yoyote (Ni Manual), Ndo gari yangu ya kwanza, Naiuza kwakuwa nimepata nyingine. Iko Mwanza kama uko interested 0686527039
Bei 3.5M
 
Picha mzee baba engine inaukubwa gani?
 
Bila picha utakuwa hujautendea haki huu uzi
 
Bila picha utakuwa hujautendea haki huu uzi
Hiyo hapo mzee
IMG_20190618_110006_926.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom