Gari nissan extrail inauzwa

Gari nissan extrail inauzwa

kimbunga jnr

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
260
Reaction score
59
Body ni silver ni automatic. Ipo katika hali nzuri ipo dar nicheck kupitia 0682111140
 
Body ni silver ni automatic. Ipo katika hali nzuri ipo dar nicheck kupitia 0682111140

hali nzuri ww ulieiona sisi tutashawishika vip?
weka picha na vitu muhimu km ni ya mwaka gani aina ya engine na mileage ndo wanavyofanya wenzako.
 
Natumia cm siwezi kupost picha jamn imetembea km 158009. Ni. Ya mwaka 2004
 
Kama anataka kuiona aje whatsapp kupitia no 0717111140
 
Sawa mkubwa ila ukitaka pics nakutumia kupitia whatsapp kwa no 0717111140 muda wote nipo online ila huku nimeshindwa kabisa kuappload picha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom