Tape measure JF-Expert Member Joined Nov 26, 2015 Posts 1,989 Reaction score 3,692 Mar 18, 2017 Thread starter #21 wakwetu ngirini said: Gari ngumu kwamba likianguka halipindi au? Click to expand... Hahaa likipinduka halipondek sana
wakwetu ngirini said: Gari ngumu kwamba likianguka halipindi au? Click to expand... Hahaa likipinduka halipondek sana
Jongwe JF-Expert Member Joined Apr 25, 2008 Posts 1,040 Reaction score 666 Mar 18, 2017 #22 Tape measure said: Habarini wakuu. Natumai mko poa, Msimu wa kupanda unakaribia, hivo nimeonelea ni bora kutafuta gari nzuri ya kwenda mashambani hasa msimu wa mvua ambapo pikipiki inakulazimu kunyeshewa. Budget 3-5 M Click to expand... Mdau, bajeti hiyo halafu unataka gari ngumu? Haya kiongozi labda utapata good luck. .
Tape measure said: Habarini wakuu. Natumai mko poa, Msimu wa kupanda unakaribia, hivo nimeonelea ni bora kutafuta gari nzuri ya kwenda mashambani hasa msimu wa mvua ambapo pikipiki inakulazimu kunyeshewa. Budget 3-5 M Click to expand... Mdau, bajeti hiyo halafu unataka gari ngumu? Haya kiongozi labda utapata good luck. .