Tape measure
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,989
- 3,692
Mkuu landlove 109 kuipata mkononi ni kazi sana nazkubali zna sura ngumu sanaTafuta landlover 109 mandolin aka londo aka ngumu kumeza ak shimo na gear.......... Yenyewe ata ukifunga springi ya mti inafika.
Uko na chuma cha mjerumani mkuu, weka tu jina na tu bei tukavunje kikobaaKupata gari ngumu iliyo hai kwa bajet yako mkuu ni ngumu... Panda panda dau kidogo.
Hahaha,aisee hizi Aka ni noumaa sanaaaTafuta landlover 109 mandolin aka londo aka ngumu kumeza ak shimo na gear.......... Yenyewe ata ukifunga springi ya mti inafika.
Mkuu Escudo nayo IPO vizuri niliendaga lushoto Tanga kule kuna milima sana na wanatumia escudo kama DalaDala.leta 6m nikuachie escudo.
12 parefu lakini weka picha wateja tupo humu humuhilux double cabin 2.8 diesel engine....ukifika mil 12 nakukabidhi...
Ngoja wenye magari magumu wajeeGari ngumu kwamba likianguka halipindi au?
iko mitsubishi pajero milango 5 kwa mil 7.5 na nissan patrol milango 5 kwa mil 9. Gar zote ziko vizuri kabisa na hazina matatizo yoyote unaweza kwenda nazo popote. Kama uko interested nicheki kwa 0656497469 tufanye biasharaHabarini wakuu.
Natumai mko poa,
Msimu wa kupanda unakaribia, hivo nimeonelea ni bora kutafuta gari nzuri ya kwenda mashambani hasa msimu wa mvua ambapo pikipiki inakulazimu kunyeshewa.
Budget 3-5 M
Ile ya vita ya mjerumaniTafuta landlover 109 mandolin aka londo aka ngumu kumeza ak shimo na gear.......... Yenyewe ata ukifunga springi ya mti inafika.
Ipo mi nauza manMkuu landlove 109 kuipata mkononi ni kazi sana nazkubali zna sura ngumu sana