Gari ndogo inatakiwa

Chiwaso

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2009
Posts
5,725
Reaction score
3,796
Iwe Namba D, kwenye kundi la ama Brevis(250), Carina(TI or SI), Rav 4, Crown, Progress, Wish, Noah(SR40)

Weka taarifa zifuatazo:-

Bei.................,
Aina ya Gari...............,
Rangi.....................,
CC.................,
Mileage.................,
Fuel....................,

Iwe haijawahi pata ajali.

Kam vipi unaweza kuni-pm

Thanks
Chiwaso
 
Nenda wanakouza magari nadhani utakuwa na Uhuru zaidi wa kuchagua.
 
bei 11,000,000, aina ya gari Carina T.I, rangi nyeupe, cc1490, mileage 72,000, fuel Petrol
 
Nenda wanakouza magari nadhani utakuwa na Uhuru zaidi wa kuchagua.
Budget haintoshi kuvamia kwenye show room.
Nimekuja huku kwa wenzangu na mimi ili tuhamishiane matatizo.
 
Njoo nikupe Carina kwa milioni tisa tu namba DHG, Silver,
 
Thanks kiongozi, nimeiona. Ila kwangu haiko sawa kwa sababu gari yangu niliyoiuza majuzi ni SI(ni latest version kuliko hii).
Ila thanks kwa kuonyesha kuwa tuko together.
Karibu sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…