rabiintocavel
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 294
- 233
Hivi Mazda wanasema huwa zina matatizo gani tena? Maana nishasahau kidogo. Hebu wenye kujua wanifahamishe kabla sijafanya maamuzi.
Endelea kutembea na miguu mpaka gari zenye chuma cha pua zitakapotengenezwa ambazo hazitakuwa na matatizo
Nimeitumia hiyo gari kwa muda wa mwaka mzima, sijawahi kupata tatizo lolote serious, Kuna siku ilioverheat nikaipeleka kwa mtaalam akatoa thermostat ndio sikufungua tena chochote. Ni gari moja nzuri sana kwa familia... Bora kuliko Hata noah... Nimeshaiuza na niliyemuuzia anaitumia mpaka leo na huu mi mwaka wake wa kwanza na nusu na yeye kamaliza.... All in all, gari ni matunzo tu.. hakikisha service, unaweka filter na oil za uhakika. kwenye mashimo unayaheshimu... Unaendesha kama inavyotakiwa... Hutokaa uhangaike na garages hata siku moja.Mkuu mbona unajaa povu namna hiyo, mi si nataka kujua tu matatizo yake na kama hujui si ni bora upite tu kimyakimya au ndo wewe nini unauza kwa ID nyingine
Nilishaiuza hiyo gari almost two years ago na niliyemuuzia haijawahi msumbua hata siku moja, ni mtu tunafahamiana na nilimwambia kabla ya kumuuzia. Sometimes what works in Bongo, does not work anywhere else...Huu ndio ufundi wetu wa kuchokonoa... Fundi kama hajui kitu anabadili system tu... simple... hahahaAliyekwambia gari inatolewa thermostant ni nani, nakushauri irudishie kwakuwa unaua hiyo gari.
we sema unsh ngapi details zote na makabidhiano ama muzo ntashughulikiaMkuu mbona unajaa povu namna hiyo, mi si nataka kujua tu matatizo yake na kama hujui si ni bora upite tu kimyakimya au ndo wewe nini unauza kwa ID nyingine
we sema unsh ngapi details zote na makabidhiano ama muzo ntashughulikia