Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 12,069
- 22,427
Gari aina ya Brevis namba B linauzwa..Gari lipo katika hali nzuri kabisa... Bei ni milion 8.5 ila maongezi yapo... Kama unania ya kununua gari hilo unaweza kuwasiliana na mmiliki wa gari husika kwa namba 0787194181...
Mmiliki na gari lenyewe wapo dar es salaam
Tupia picha tulione
Tupia picha kidogo mkuu
Nikupatie Mark 11 gx 100, ina injini mpya kabisa, namba C gari iko imara sananataka raum au probox kwa m5