Gari linauzwa- Toyota Land cruiser

Gari linauzwa- Toyota Land cruiser

1999 Toyota Land cruiser (mkonga), 4 wheel drive linauzwa. Gari linatembea na liko kwenye hali nzuri sana. Limefanyiwa maintenance service hivi karibuni (front brake pads,wheel alighment, front stabilizer link, engine oil, oil filter, diesel filter na front bar bush) Ni manual transmission. Limetembea km 79,000. Insurance na road license zimelipiwa. Gari lipo Dar es salaam. Bei ni shilingi milioni 48 (maelewano yapo). Kwa mawasiliano napatikana kwenye simu # 0687 609 333 au 0756 609 333

Kitu wan'echizedi! Nakiona kwa chaaaaaaati!
 
Kama huna kapiriensi na mandinga tulia hilo gari very expensive kwa hiyo bei wakija wenyewe kesho hulikuti!
Hauzi 48 kwa jinsi alivyoiweka suala sio Cruiser tu na Hz basi ndio bei iwe utakavyo!!!
Kuna jinsi ya kuiweka hiyo gari mpaka iwe na bei hiyo!!!

Gari haina BF, Wala Dunlop, hujavika Michelin hujavika IPF wala Cibie wala electronic winch, yaani Hz tu ndio iwe bei hiyo unamchuuza mwenzio bure tu!!!!

Serikalini hawatunzi gari ndio maana nikataja habari ya mashirika makubwa sababu hao dereva mwenyewe hapigi spana sasa mnunuzi wa gari ataangalia factor nyingi sana ikiwamo previous user!!!

Kama unamtakia mema muuzaji mshauri ukweli kuwa cruizer zinauzika ila kuna jinsi ya kuiweka ili apate bei nzuri! !!
 
Tatizo na we ka bikira mtongozo kidogo , aku aku mi sitaki kibao!
Mtaishia vipaso na vikei tu nyambafuuuuuuu!
Hiyo ni gari ya kazi, kama unataka kuirefusha utaingia 20m ingine.....imagine....je italipa kwa cruiser ya 1999? wakati kwa 78M uapata kisu kabisa?
Ukinunua gari used kwa serikali then ukaifanyia recondion, usifikiri vichwa vinavyojua magari vitakuamini kwamba umeweza kuirudisha kwenye mstari....ni afadhali uiache hivyohivyo bila kuweka mbwembwe kabisa.

Fikiria kama naitaka ya Tours, sihitaji viti vyako....kama umeingia mfukoni kutengeneza viti na covers...hiyo gharama kwangu siwezi kui-coer kwasababu sivihitaji anyway......ushanipata??!!

hilo goma kama 1HZ imesimama sawasawa....aanze 35m.
 
Muandiko wa mtu wa gari hausumbui macho kabisa!!!!
Bigirita umesomeka!!!
 
Last edited by a moderator:
Ndio, ina coil spring suspension na haidaiwi kodi yoyote. Ofa inaweza kushuka. Cha muhimu kama uko interested ni kukagua gari na kuli-test na fundi wako na kama ukiridhika tutaongea bei.
 
Mkuu maelewano yapo kwenye bei. Ukiligagua gari na kuridhika nalo then tunaweza kuelewana zaidi kwenye bei.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom