Gari linauzwa- Toyota Land cruiser

Gari linauzwa- Toyota Land cruiser

mbugot

Member
Joined
Aug 7, 2013
Posts
42
Reaction score
37
1999 Toyota Land cruiser (mkonga), 4 wheel drive linauzwa. Gari linatembea na liko kwenye hali nzuri sana. Limefanyiwa maintenance service hivi karibuni (front brake pads,wheel alighment, front stabilizer link, engine oil, oil filter, diesel filter na front bar bush) Ni manual transmission. Limetembea km 79,000. Insurance na road license zimelipiwa. Gari lipo Dar es salaam. Bei ni shilingi milioni 48 (maelewano yapo).
 
Attachments

  • Toyota Front.jpg
    Toyota Front.jpg
    229.4 KB · Views: 781
  • Toyota Bside.jpg
    Toyota Bside.jpg
    126.7 KB · Views: 708
  • Toyota Rside.jpg
    Toyota Rside.jpg
    159.3 KB · Views: 656
  • Toyota Inside 2.jpg
    Toyota Inside 2.jpg
    157.9 KB · Views: 621
  • Toyota Engine.jpg
    Toyota Engine.jpg
    215.9 KB · Views: 586
  • Toyota FInside.jpg
    Toyota FInside.jpg
    127.8 KB · Views: 584
  • Toyota Lside.jpg
    Toyota Lside.jpg
    175.5 KB · Views: 595
Ilikuwa inafanya kazi za kiofisi mkuu, kubeba staff n.k. Haijawahi kufanya kazi yoyote ya kubeba wagonjwa.
 
Dah... mnyama kasimamia kucha... Hela tu ndo shida.... Umaskini Ukuta..
 
Mwaka 1999 imetembea km 78000 tu duh hapana kwa kweli
 
mmmh hata kama ni land cluser bei af used khaa
 
Wakuu msimbeze,hizi gari ni ghali sana.
We ingia kwenye website za hapa uone bei zake.
Uimara wa Landcruiser wa 2004 usilinganishe na roho ya paka Mkonga ya 1999
 
Wakuu msimbeze,hizi gari ni ghali sana.
We ingia kwenye website za hapa uone bei zake.
Uimara wa Landcruiser wa 2004 usilinganishe na roho ya paka Mkonga ya 1999

Nadhani hawajui hii ni gari imara kiasi gani ndio maana wanaona ghali.
 
Hiyo sio gari ya kuuzwa bei hiyo...Hela ya sio ya mchezo. Tusidanganyanye
 
mkuu naomba kujua, iyo gari ni koili / spring? mm sio mwenyeji kwenye landcruiser ila kuna ndugu analitaka, je alidaiwi kodi?? ofa inaweza kushuka kidogo? waweza pm au apapa.... shuka kidogo tufanye bzness...
 
nachoona kwa wachangiaji ni kutokujua bei za magari na thamani zake....
 
Unaeza kuta jamaa kanunua yalee magari ya laki 5 (ya serikali) afu anapiga m48, inchi hiii mmweee
 
nachoona kwa wachangiaji ni kutokujua bei za magari na thamani zake....

Labda lakini sio kila Cruiser inabeba sifa na ubora wa Cruiser!!!!
Mathalani kama cover tu ambayo tarditionally ni grey hapo iko maroon mie naanzia doubts hapo!!!
 
Unaeza kuta jamaa kanunua yalee magari ya laki 5 (ya serikali) afu anapiga m48, inchi hiii mmweee

Kuna mashirika yanatunza hizo kitu acha kabisa wamoja ni Oxfam, jamaa watunzaji acha kabisa wana gari cruiserz namba A lakini visu kabisa hiyo bei tajw ukiokota kwenye shirika kama hili hata maswali utakosa!!!
 
Unaeza kuta jamaa kanunua yalee magari ya laki 5 (ya serikali) afu anapiga m48, inchi hiii mmweee

msigwa habari ndio hiyo.hii ilikuwa ya serikali ikanunuliwa sh.laki moja sasa yeye anataka 48M mkuu mimi nina milioni 12.kama unakubali ni mp.
 
mkuu naomba kujua, iyo gari ni koili / spring? mm sio mwenyeji kwenye landcruiser ila kuna ndugu analitaka, je alidaiwi kodi?? ofa inaweza kushuka kidogo? waweza pm au apapa.... shuka kidogo tufanye bzness...

Nenda kaione kwanza!
 
Labda lakini sio kila Cruiser inabeba sifa na ubora wa Cruiser!!!!
Mathalani kama cover tu ambayo tarditionally ni grey hapo iko maroon mie naanzia doubts hapo!!!

Tatizo na we ka bikira mtongozo kidogo , aku aku mi sitaki kibao!
Mtaishia vipaso na vikei tu nyambafuuuuuuu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom