Gari linauzwa (Honda HRV)

Gari linauzwa (Honda HRV)

Takayangu

Member
Joined
Nov 12, 2011
Posts
35
Reaction score
13
Gari niya mwaka 2006,petrol engine,imetembea km 72,000. Bei ni Mil 13.5 Kwa anayehi ani pm kwa 0713 869692
 
CRV ya 2006, ni gari nzuri sana tu. Huyo anayesema crv gari mbovu amekariri.
 
Kumbe ni HRV, sina uzoefu na hiyo gari lakn huwa siipendi tu!
 
Back
Top Bottom