Kama uko Serious Nenda Osterbay kwenye Ofisi ya Mkandarasi aliyekuwa anajenga Daraja la Tanzanite ukachukue gari la aina hiyo kwa bei nzuri na magari bado ni mapya anauza baada ya mradi kwisha. Ukiweza kesho amkia hapo maaana hadi Ijumaa zilikuwa zimebaki Prado 2 tu.
Ukiipata ukanunua pesa ya Udalali usinipe kawape watoto yatima maaana utakua umepiga bingo.πππ