Gari lililotengenezwa Tanzania: Linahitajika

guzman_

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2016
Posts
1,277
Reaction score
2,463
Habarini wakuu
Nimesikia hapo kibaha jeshi (Nyumbu) watengeneza magari mazuri na ya kiwango. Nimejaribu kuangalia website yao hata haifunguki. Nimedhamilia kwenda kuangalia product zao na kununua moja kama kuunga mkono juhudi za jeshi letu.
Please mwenye taarifa tushirikishane.
Im very serious katika hili.
Karibuni
 
nyumbu ni magari yalikuwa yanatengenezwa na jeshi! kama sijakosea purposely yalikuwa kwaajili ya matumizi ya jeshi


 
mmmhh mbombo ngafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…