Umenikumbusha mbali kwao na Rwechungura! maana utasikia anasema haka kachaga bwana kanajidai sana na kiprado chake cha Tsh milion arobaini gari ni ya professor rwehimamu inauzwa milion mia tano. BMW kwetu bukoba ni ya kufugia mbuzi lakini wachaga Arusha wanaona ndio gari ya maana.