Gari kwa anauza

Gari kwa anauza

kaja

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2013
Posts
461
Reaction score
120
Nahitaji gari kwa ajili ya biashara
 
Nunua mwenyewe nina mashaka na wewe na akili yako
 
gari gani unataka. Na usha sh ngapi. Maana yapo magari hadi ya laki tano. Sema bajeti yako
 
Kama huna kaa kimyaaaa

Mkuu anachokisema huenda ni kweli, kuna gari maalum huwa zinatumika kuchimbia makaburi. Kwa wenzetu huduma za mazishi ikiwa ni pamoja na uchimbaji wa makaburi hufanywa na kampuni. Hivyo basi makampuni hayachimbi kwa majembe ya kutumia mikono.
 
ukiona majibu mengi yanakuja na ambayo hauyataki basi ujue kuwa wajumbe wanataka uwe specific ni aina gani ya biashara unayotaka,kuna mabasi,taxi,za kubeba maji,kubeba taka,kubeba mizigo aina mbalimbali....n.k....usiwe mkali kwani hata magari ya kuchimba makaburi yako na ni biashara.
 
Nataka za abiria au mzigo
 
foxy ipo magomen mil tisa ni pm km upo interest
 
ipo km noah inatumika kubeba abiria baadhi ya sehemu inategemea upo wp? Dar au mkoani?

...yaaa umesomeka kiongozi, me i'm interested with fiat, kama kuna mtu anauza i need one friends, gonga pm tuongee...
 
foxy ipo magomen mil tisa ni pm km upo interest

Voxy ama foxy? Duh mil 9 ninya china ama japan? M9 mmh nina shaka na hilo gari litakuwa na walakin tu. ingia website ya magari uone ised bei zake, utaingia chaka
 
Naomba Tuwasiliane
0714894088
0762641094
0784604971
0773904971. Email. mnanacom@yahoo.com


mimi ninazo hizi, Noah za kisasa 2, Nssan Serena 1 na Toyota Sienta 1

IMG_1323.JPG Hii ni Toyota SIENTA inafaa kwa biashara ya taxm. Bei milion 12


IMG_1366.JPG Nissan Serena inauwezo wa kufanya biashara kama Noah. Bei milion 13


View attachment 109761 Noah ya kwanza Bei milion 14


IMG_1289.JPG Noah ya pili. Bei milion 14

Naomba Tuwasiliane
0714894088
0762641094
0784604971
0773904971. Email. mnanacom@yahoo.com
 
Back
Top Bottom