S SAPO Member Joined Nov 19, 2012 Posts 14 Reaction score 0 Feb 13, 2014 #1 GX 90, Mark II Inauzwa bei nzuri 4.5m, maelewano yapo Ipo katika hali nzuri 0655 282862, 0768424646 Attachments GetAttachment5.jpg 7.3 KB · Views: 553 GetAttachment2.jpg 4.7 KB · Views: 543 GetAttachment.jpg 8.3 KB · Views: 544
Power G JF-Expert Member Joined Apr 20, 2011 Posts 3,884 Reaction score 1,200 Feb 13, 2014 #2 Fafanua ni ya mwaka gani?, imetembea km ngapi? na ukubwa wa injini tafadhali
U UFASHE MLIBHONA Senior Member Joined Nov 28, 2012 Posts 177 Reaction score 51 Feb 13, 2014 #3 chukua 3m
S SAPO Member Joined Nov 19, 2012 Posts 14 Reaction score 0 Feb 13, 2014 Thread starter #4 UFASHE MLIBHONA said: chukua 3m Click to expand... Mkuu 3m umeshuka sana, chuma bado kipo katika hali nzuri maana imetunzwa vizuri. Piga hizo namba tuongee zaidi
UFASHE MLIBHONA said: chukua 3m Click to expand... Mkuu 3m umeshuka sana, chuma bado kipo katika hali nzuri maana imetunzwa vizuri. Piga hizo namba tuongee zaidi
mandwa JF-Expert Member Joined Aug 13, 2013 Posts 1,502 Reaction score 372 Feb 13, 2014 #5 road licence,motor vehicle licence valid?
Wa nyamadyaki JF-Expert Member Joined Mar 6, 2013 Posts 1,178 Reaction score 529 Feb 13, 2014 #6 3.2 chukua
S SAPO Member Joined Nov 19, 2012 Posts 14 Reaction score 0 Feb 14, 2014 Thread starter #7 mandwa said: road licence,motor vehicle licence valid? Click to expand... Vyote valid mkuu, Ni kwamba gari inatumika kama kawaida sio imepaki. Ni vizuri ukaiona mkuu kwa uhalisi
mandwa said: road licence,motor vehicle licence valid? Click to expand... Vyote valid mkuu, Ni kwamba gari inatumika kama kawaida sio imepaki. Ni vizuri ukaiona mkuu kwa uhalisi