ni kluger new model ya mwaka 2012 bei ni milion 90
kwa ushauri tu angalau umekosea jukwaa, vitu vifuatavyo vingehusika sana kwenye tangazo lako:
1. Rangi
2. Mileage
3. Engine size (CC)
4. Picha za gari husika
5. Any mechanical problem
6. Is a price negotiable?
7. Location ya gari husika
8. Je imeingia Tanzania mwaka gani (Angalau I'm not sure kama ipo Tanzania)
9. Vitu muhimu, kama vile motor vehicle, Insurance n.k vimelipiwa, na vinaisha lini?
10. Kama ipo Tanzania je imetembea miaka mingapi?
11. Je imeshawahi kufanya long journey?
12. Imekaa mikononi mwa watu wangapi Tangu imefika Tanzania (Kama ipo Tanzania of course)
13. Mwisho kabisa anayeendesha hiyo gari ni mwanamme au mwanamke?
Kisha lazima useme wewe ndiye mwenye gari au ni dalali.
Huu ni ushauri tu unaweza vile vile kutupa kapuni, 90m ni nyingi eti, kwa hiyo lazima tujue mengi juu ya hiyo gari.
hahaha. haya bana iko hiv. Gari ni ya kwangu nimeinunua Japan mwezi wa kumi mwaka jana. na nilinunua dola elfu 20 kilichoniudhi ilipofika hapa ushuru ni milion 35 plus blablaa kibao bandarin nimeitoa mwezi wa 12 na ilikuja ikiwa imetembea km. 38000 na huwez kuamini tangu ije nimeiweka ndani tu nilitoka nayo cku moja tu nikaenda nayo Posta bac. ni rangi nyeusi broda mi sio dalali ndio mmiliki kama unaweza nielekeze jinsi ya kutuma picha ndio uione vizuri ila Gari kama gar iko vizuri sana
wanaotaka kujiunga na ACT .
Wasiliana 0653 689965[/QUO
Wasaliti
Klugger 2012 milion 90? hahahaahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.Mbona hujaweka details? Inaonekana hujiamini na hiyo bei uliyotuwekea.
mwamba ni fedha ya kibongo sio zimdollar au kwacha.Kama unayo mcheki jamaamilioni 90 za ki tz au za ki zimbabwe?
hahaha. haya bana iko hiv. Gari ni ya kwangu nimeinunua Japan mwezi wa kumi mwaka jana. na nilinunua dola elfu 20 kilichoniudhi ilipofika hapa ushuru ni milion 35 plus blablaa kibao bandarin nimeitoa mwezi wa 12 na ilikuja ikiwa imetembea km. 38000 na huwez kuamini tangu ije nimeiweka ndani tu nilitoka nayo cku moja tu nikaenda nayo Posta bac. ni rangi nyeusi broda mi sio dalali ndio mmiliki kama unaweza nielekeze jinsi ya kutuma picha ndio uione vizuri ila Gari kama gar iko vizuri sana
wanaotaka kujiunga na ACT .
Wasiliana 0653 689965
Kwa style hiyo hamtakaa mpate wanachama