Gari inauzwa

Gari inauzwa

Manka R

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2013
Posts
238
Reaction score
29
Mil. 28
 

Attachments

  • 1406709639344.jpg
    1406709639344.jpg
    96.8 KB · Views: 509
  • 1406709712167.jpg
    1406709712167.jpg
    69.5 KB · Views: 428
  • 1406709739229.jpg
    1406709739229.jpg
    55.5 KB · Views: 407
Ngoja waje wenye hela za kununua magari..wengine tunaweza kununua 'baby walker' mwenyewe wanaziita.
 
Prado sikuiz zinauzwa mpaka ml12 au 13 wewe unauza ml28 duuh!! Utapiganayo picha mkuu kwa bei hiyo
 
kwa wanaojua magari,toptop 8.5 ila usife moyo biashara imani unaweza mpata mbuzi wa shughuli
 
prado kama hizo sasa zimeshuka sana thamani na bei si zaidi ya mil. 15 na ukibahatisha mil. 20, ila zaidi ya hapo utapiga nalo saana picha. ila kila la heri.
 
prado kama hizo sasa zimeshuka sana thamani na bei si zaidi ya mil. 15 na ukibahatisha mil. 20, ila zaidi ya hapo utapiga nalo saana picha. ila kila la heri.

Wapi zinauzwa kwa bei hiyo unayoisema nikavute moja ya kuendea safari za bush.
 
Aliyeserious anipm... Gari ya juzi juzi tu hii. Bado.mpya
 
Kwa gari hiyo na hiyo bei labda uende Shinyanga au kokote wanakoishi kina Ngosha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom