Moudy Boka
Senior Member
- Jan 14, 2012
- 103
- 32
Moudy Boka
yaani unafikiri kuna mtu atakurupuka kununua ilo gari kama haujasema ni Gari gani,condition iko je(zima au ni for spare parts),limetembea umbali gani,Engine iko je?Bei yake ni ipi?
Contacts za simu kwa issue serious kama hizi ni muhimu maana wengine kwenye mamilioni hatuwezi kudeal kwa PM
Kama upo serious modify tangazo lako faster
Kaka details zipo tayarikuwa serios hizo details zinakuja baada ya muda gan...
unaweka mapicha ya ndani wakati watu wanataka kuona body pia...hakatwi mtu hapa!!unataka kuuza mbuzi kwenye gunia.