Ninauza gari aina ya suzuki swift ya 2001 yenye details zifuatazo:
1. Mileage 178000 KM
2. Reg number BJU
3. Iliingia Tz mwaka 2010
4. Iko katika hali nzuri sana ( inatembea )
5. Rangi nyeupe/cream (maziwa)
6. Bei - 5.4M ila mazungumzo yanakaribishwa
Kwanini nauza: Nasafiri nje ya nchi kimasomo
Kwa anayehitaji unaweza kuni PM
Picha nitaambatanisha baadaye
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums