Gari inauzwa

Gari inauzwa

Mparee Halisi

Senior Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
104
Reaction score
8
Toyota Corolla X
Mwaka 2001
Km. 150329
Tshs 5.5
Cc 1496
Engine VVT-I
Vibali vyote vipo hai
Gari ipo kwenye hali nzuri sana
0655874863
1466253449507-jpg.357703
1466253475610-jpg.357704
1466253579284-jpg.357705
002fe459caf063cce3bbd9f6b80a0a12.jpg
001e9efa4a3d8efbd93140643a18948c.jpg
 
Mh mie ninahitaji lakini Salio ni 3.5ml
 
ukikosa kabisa kama wote wazushi njoo kwangu nina 4m.. cash..

mi niifanye tax tu kubahatisha hela
 
Tax siku hizi wapi pikipki funika njia za miji Tz nzima. Labda upaki hospitali ususbiri wagonjwa wakiruhusiwa.
 
Gari number BB* maximum price ni 3 si zaidi ya hapo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom