Malaki
Member
- Jan 12, 2016
- 84
- 39
Fixed ndo gari gani kiongozi?Mil 4.3 fixed
Hii ikifika mwezi wa 4 bado unayo nishitue niichukueHizo nmetuma
Du, ila hiyo gari imepigwa picha kwa kuificha ficha/tahadhari. Kunani mkuu....Hii ikifika mwezi wa 4 bado unayo nishitue niichukue
HahahahabaHicho kinachofika mkoa wowote ni hii pikipiki inayoonekana ktk picha au?