Gari inauzwa tsh mill 9

Gari inauzwa tsh mill 9

FLEX

Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21
Reaction score
1
Gari aina ya Rv 4 T311 AFL inauzwa kwa bei nafuu million 9 maelewano yapo! No za simu 0716 21 61 29.
 
Bro nimechemka kuweka picha ila iko fresh inatembea km ukitaka kuiona we nipigie tu utaiona!
 
weka picha, rangi na mambo mengine yote hadharani
 
Dark blue,milango mitano, picha nimeshindwa kuweka natumia wana jamii, gari ipo uhakika!
 
Km ngapi sijaelewa,kama bei nishaitaja na maelewano yapo baada ya kuiona,ni gari ya kupanda na kuondoka nayo tu!
 
Bro nimechemka kuweka picha ila iko fresh inatembea km ukitaka kuiona we nipigie tu utaiona!

mimi siitaki, ila picha zinakuongezea bahati ya wateja zaidi kuitamani na hata kuttaka kununua.
 
Km ngapi sijaelewa,kama bei nishaitaja na maelewano yapo baada ya kuiona,ni gari ya kupanda na kuondoka nayo tu!

KM ngapi nina maana kilomita ngapi ishakula. Nipe jibu mi naitaka.
 
muwe mnaweka picha,inamrahisishia kwa kiasi fulani mtu anayetaka kununua
 
jamaa kagoma kusema km,
lets assume its more than laki 2
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom