Gari yenye Miaka karibia 10 hapa bongo unaiuza kwa 80% ya bei ya kuagiza Japan?Nauza toyota sprinter ya mwaka 2001,imetumika hapa Dar namba B,ni Automatic,km 116000
Tsh 6,000,000 kwa anayehitaji tuwasiliane kupitia namba 0784876210,nitamtumia picha.