Gari inauzwa TOYOTA PRIMIER | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gari inauzwa TOYOTA PRIMIER

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Vodka, Aug 12, 2012.

 1. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #1
  Aug 12, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Toyota Primio inauzwa rangi silver(fedha), imetumika kwa mwaka mmoja,imetembea jumla km 13.7 (137322m) bei ni tsh 9.5 milioni wasiliana na mimi kwa PM au namba 0653942807.
   
 2. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #2
  Aug 12, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,827
  Likes Received: 929
  Trophy Points: 280
  Haya matangazo ya kienyeji ndio hayatakiwi...nani anajua hilo gari lako bila kuliona?!!
   
 3. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #3
  Aug 12, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,695
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Mkuu unamaanisha Premio..au primier..kama utaweza rusha na picha basi..ila hizo kilometer nina wasiwasi nazo kama umeshalitumia almost one year ni vigumu kuwa 13Km..inamaana hizo ni kilometer ulizotumia wakati unalitoa pale bandarini na hujawahi kulitumia kwenye mizunguko yako!!
   
 4. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #4
  Aug 13, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  hiyohiyo imeshuka bandarini na km 1
   
 5. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #5
  Aug 13, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Huyu bwana ametoa namba yake ya simu kwa ajili ya mawasiliano aidha unaweza kutuma Private Message (PM); hii yote ni kwa ajili ya kufanya business kwa mtu anayehitaji gari tajwa. Wewe wasiwasi wako ni nini?
   
 6. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #6
  Aug 13, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,000
  Likes Received: 2,655
  Trophy Points: 280
  Acha mbwembwe ina maana hata kiwandani hawakutest?
   
 7. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #7
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  unatakankutuambia ww unaiski karibia na feri?
  coz kama unaishi zaidi ya ubungo utakuwa utatuingiza mkenge
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Jamani Jamani ndio maana chadema wanasema kipaumbele cha kwanza,cha pili na cha tatu ni elimu!! Wanafunzi wengi ni kina kayumba wamesoma shule za kata,mie nafikiri ana maanisha 137,322km na ilikuja ina 100,000km.
   
 9. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #9
  Aug 14, 2012
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hili ni tangazo ama mtihani inabidi watu wajaribu ku guess
   
 10. muuza ugoro

  muuza ugoro JF-Expert Member

  #10
  Aug 15, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 348
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  mmh mbona maneno yame overlap?
   
Loading...