Gari inauzwa rav4 l

Gari inauzwa rav4 l

prince wilson

Member
Joined
Jan 7, 2013
Posts
10
Reaction score
4
Gari hii inauzwa kwa tsh.milioni 12tu iko jijini dar es salaam kwa mawasiliano piga 0719 147503,0753 009325.


attachment.php




IMG_0001.jpg IMG_0002.jpg IMG_0003.jpg
 
Kweli ufisadi unalipa! Rav4 tena iliyokwishatumika aghali kiasi hiki! Weka vikorombwezo kama vile mileage, makandokando ya ndani na lugha nyingine ya kibiashara basi.
 
ni kweli, details zinahitajika, ila kwa mwenye kuhitaji namba ziko wazi.
 
Hiyo 12??? Bila ushuru au mbona rahis hivyo coz this car it cost minimum 24 mil
 
Sina Mawe bei nafuu sana ukitulia usipo Uza kwaharaka unauza mpk mill 17
 
hauko serious mkuu,aya subiri mpaka ajiunge na extreme pack ndo aje akujibu


Nipo serious mkuu, ndiyo maana nimeuliza maana naona siku zimesonga tangu alipoiweka hewani mara ya kwanza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom