Gari inauzwa rav4 l

Gari inauzwa rav4 l

prince wilson

Member
Joined
Jan 7, 2013
Posts
10
Reaction score
4
GARI HII INA UZWA TSH.12,500,000 tu.nipo jijini dar es salaam wasiliana nami simu namba 0719 147503.
E-mail:wilson.malisa@yahoo.com
rav4.jpg
 
kuwa mkweli ndugu hii picha imepigiwa nje na gari unasema iko dar kwa nini usipige picha halisi kwa sassa na mazingira ya dar.
au unataka kutuuzia mbuzi ndani ya gunia.
 
weka detail za kutosha km gar ni yako,

sie wengine hapa madalali tunakulipa alaf sie tunapiga cha juu.

Tafadhal weka picha yake halis, manake isije ikawa ni nyeupe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom