Gari inauzwa ni alteza 4 cilinder

Gari inauzwa ni alteza 4 cilinder

masenga1122

Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
6
Reaction score
0
Nchek wasap kwa maelezo zaid 0654959797
 

Attachments

  • 1422979662913.jpg
    1422979662913.jpg
    66.3 KB · Views: 395
  • 1422979711476.jpg
    1422979711476.jpg
    75.1 KB · Views: 353
  • 1422979753876.jpg
    1422979753876.jpg
    70.4 KB · Views: 334
Nchek wasap kwa maelezo zaid 0654959797
Mkuu imependeza uneweka picha lkn maelezo kwa kweli hayajitoshelezi

1. Limeshatembea km ngapi?
2. Transimission, A/M?
3. Liko mkoa gani?
4. Year of manufacture (YOM)
5. Imported Year?
6. Location, gari ilipo kwa hv ss.
7. Other accessories ivailable. Eg TV. Fm tuner, Cd, MD with woofer.
8. Price (important)


Kwa uchache unaeza haza hizo missed items kwenye Tangazo lako.

Kumbuka sio wote wana access ya whatsapp.
 
Kwani si ungeweka maelezo mzee kuokoa muda??
 
Gari lipo dar limetembea km50 elfu ni la mwaka 2000 bei ni milion 9
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom