mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 772
Ni toyopta corona EXIV
imetembea 180,00km
inatembea na ina hali nzuri....
nyeusi metalic...
cc 1800 (ilichakachuliwa zikashuka hadi 1500)
Power Window
Aircondition ipo Ok (ya kujaza gesi tu na tunajaza wote)
Engine safi 3S....
Namba T.AH.......
maongez yapo............
pich antaweka mda c mrefu
mimi nina laki 9
Ni toyopta corona EXIV
imetembea 180,00km
inatembea na ina hali nzuri....
nyeusi metalic...
cc 1800 (ilichakachuliwa zikashuka hadi 1500)
Power Window
Aircondition ipo Ok (ya kujaza gesi tu na tunajaza wote)
Engine safi 3S....
Namba T.AH.......
maongez yapo............
pich antaweka mda c mrefu
Watu mna maneno ya maudhi dah "Mnunuzi wa mwisho anahitajika....!"Nimecheka hadi watu officin wakageuka!!Mnunuzi wa mwisho anahitajika....!
Watu mna maneno ya maudhi dah "Mnunuzi wa mwisho anahitajika....!"Nimecheka hadi watu officin wakageuka!!
Yani acha gari bovu inasumbua hutakaa uvae shati jeupe! Mkuu na mimi hii kitu nasukuma Tazama hapa https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/519169-gari-hii-inauzwa-kwa-muhitaji.htmlMnunuzi wa mwisho shurti awe rafiki wa mafundi na wanunuzi wa vyuma chakavu.
Yani acha gari bovu inasumbua hutakaa uvae shati jeupe! Mkuu na mimi hii kitu nasukuma Tazama hapa https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/519169-gari-hii-inauzwa-kwa-muhitaji.html
Ni toyopta corona EXIV
imetembea 180,00km
inatembea na ina hali nzuri....
nyeusi metalic...
cc 1800 (ilichakachuliwa zikashuka hadi 1500)
Power Window
Aircondition ipo Ok (ya kujaza gesi tu na tunajaza wote)
Engine safi 3S....
Namba T.AH.......
maongez yapo............
pich antaweka mda c mrefu
Haijawahi kugongwa?, na je haina licage kwenye Engine?. Weka picha ya Gari na Namba ya Simu tunaweza tukaelewan.