Gari inauzwa- Daihatsu Terios

Gari inauzwa- Daihatsu Terios

Kididimo

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
4,391
Reaction score
4,012
Inauzwa:
MAKE: Daihatsu
MODEL: Terios
MODEL NO: GF-J102G
BODY TYPE: Station Wagon
TRANSMISSION: 5 Speed, Manual (4WD)
COLOUR: Black
YEAR OF MANUFACTURE: 2000
ENGINE: K3
ENGINE CAPACITY: 1290cc
FUEL: Petrol
PRICE: 10m Tsh
Imported in 2015 from Japan. Gari ipo Morogoro mjini.
For more information please contact; 0784 386 922; 0756 408 110 or 0713 944 167.
 
Picha za gari hiyo hizi hapa.
 
Attachments

  • IMG-20180819-WA0003.jpg
    IMG-20180819-WA0003.jpg
    66.6 KB · Views: 100
  • IMG-20180819-WA0002.jpg
    IMG-20180819-WA0002.jpg
    94.8 KB · Views: 96
  • IMG-20180819-WA0001.jpg
    IMG-20180819-WA0001.jpg
    35.4 KB · Views: 82
  • IMG-20180819-WA0000.jpg
    IMG-20180819-WA0000.jpg
    49.3 KB · Views: 81
Inauzwa:
MAKE: Daihatsu
MODEL: Terios
MODEL NO: GF-J102G
BODY TYPE: Station Wagon
TRANSMISSION: 5 Speed, Manual (4WD)
COLOUR: Black
YEAR OF MANUFACTURE: 2000
ENGINE: K3
ENGINE CAPACITY: 1290cc
FUEL: Petrol
PRICE: 10m Tsh
Imported in 2015 from Japan. Gari ipo Morogoro mjini.
For more information please contact; 0784 386 922; 0756 408 110 or 0713 944 167.
Mkuu gari utauza tu ila hiyo bei naona kama haijakaa vizur hivi, moja nikuombe tu upitie bei za Magari showroom ujiridhishe bei yake kwa sasa kwa gari za aina hiyo v/s hii uliyoiingiza 3yrs back.

Pili madereva wengi siku hizi hawajifunzi tena magari driving schools sababu ya ujio wa gari za Auto (Kanyaga-twende) hivyo wapenzi wa "Manual" sio wengi. Auto unajifunza hata mwenyewe tu.

Tatu kuna "Non-Toyota ~phobia".
 
Asante kwa ushauri. Anayehitaji, maongezi yapo. Karibu.
 
Asante kwa ushauri. Anayehitaji, maongezi yapo. Karibu.
 
Terios Kid imetumika nchini kwa zaidi ya miaka mitatu unauza milioni kumi? Wewe uliinunua sh ngapi?
 
Terios Kid imetumika nchini kwa zaidi ya miaka mitatu unauza milioni kumi? Wewe uliinunua sh ngapi?
Ni kweli, inaweza kuwa na miaka 3. Imekuwa na matumizi kidogo,almost ni mpya bado. Tuongee kupitia hizo namba za simu, ukihitaji tutaelewana.
 
Mkuu gari utauza tu ila hiyo bei naona kama haijakaa vizur hivi, moja nikuombe tu upitie bei za Magari showroom ujiridhishe bei yake kwa sasa kwa gari za aina hiyo v/s hii uliyoiingiza 3yrs back.

Pili madereva wengi siku hizi hawajifunzi tena magari driving schools sababu ya ujio wa gari za Auto (Kanyaga-twende) hivyo wapenzi wa "Manual" sio wengi. Auto unajifunza hata mwenyewe tu.

Tatu kuna "Non-Toyota ~phobia".

achana na bei ya hiyo gari, lakini TERIOUS, CAM ni gari ngumu zaid ya rav4 old model. Tatizo zake ni gearbox lakini ikiwa na gear box nzuri baasi mkataba gari hiyo
 
achana na bei ya hiyo gari, lakini TERIOUS, CAM ni gari ngumu zaid ya rav4 old model. Tatizo zake ni gearbox lakini ikiwa na gear box nzuri baasi mkataba gari hiyo
Hii gari ni almost mpya, haina tatizo lolote la gear box.
Karibuni, bado gari ipo.
 
Mkuu ulitaka utoe ngapi?. Maongezi yapo. Angalia milage na condition ya mali yenyewe.

hiyo gari ni manual.. wauza spare hawaleti spare zake sana.. ukiunguza clutch plate hiyo hadi uipate utateseka sana.. manual car ni mateso sana kwenye spare hasa hizo ndogo ndogo
 
Hii gari ni almost mpya, haina tatizo lolote la gear box.
Karibuni, bado gari ipo.
Almost mpya gari imported 3 years ago Mkuu?
Mi nakushauri kweli, unless labda unaitangaza tu ionekane, lakini kwa kuuza fikiria hiyo bei tena
 
Gari bado ipo. Spare za hii gari zinapatikana kirahisi tuu, ni gari imara ambayo haihitaji matengenezo ya mara kwa mara kama ilivyo baadhi ya gari za Toyota.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom