Gari inauzwa, corolla 111, milion 3 - 0658000106

shaurimbaya

JF-Expert Member
Oct 3, 2013
1,915
2,329
Habari wadau wa jf..

Nauza gari yangu corolla 111- model ya 1999,
imported mwaka 2009,
Engine size ni 1300cc, haijawai kupata ajali yoyote,
mileage 290,000km inatembea haina tatizo lolote la kutisha unaruhusiwa kuja na fundi wako kuikagua.
Bei ni Milion 3 za kitanzania..
Gari ni Manual Transmission..
Gari ilipo nyumbani kwangu ubungo external

Sababu ya kuuza mwaka jana nilinunua gari mpya so hii siitumii kabisa nahisi itaoza sasa.. na nahitaji hiyo hela niiongezeee kwenye mradi wangu wa maji

Business partner anatafutwa (Project ya maji safi Ubungo) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

picha za gari hiyo hizo hapo kwenye attachment

mawasiliano ni 0658 000106 ,, 0789 993350
 

Attachments

  • IMG_20150926_135746.jpg
    IMG_20150926_135746.jpg
    110.9 KB · Views: 155
  • IMG_20150926_135757.jpg
    IMG_20150926_135757.jpg
    123.1 KB · Views: 148
  • IMG_20150926_135808.jpg
    IMG_20150926_135808.jpg
    102.5 KB · Views: 124
  • IMG_20150926_144200.jpg
    IMG_20150926_144200.jpg
    125.5 KB · Views: 143
  • IMG_20150926_144216.jpg
    IMG_20150926_144216.jpg
    73.5 KB · Views: 125
  • IMG_20150926_144228.jpg
    IMG_20150926_144228.jpg
    77.9 KB · Views: 105
  • IMG_20150926_144240.jpg
    IMG_20150926_144240.jpg
    50.1 KB · Views: 104
  • IMG_20150926_144300.jpg
    IMG_20150926_144300.jpg
    152.4 KB · Views: 106
  • IMG_20160110_094202.jpg
    IMG_20160110_094202.jpg
    99.8 KB · Views: 112
  • IMG_20160110_094210.jpg
    IMG_20160110_094210.jpg
    104.4 KB · Views: 125
  • IMG_20160110_094227.jpg
    IMG_20160110_094227.jpg
    101.2 KB · Views: 109
  • IMG_20160110_094231.jpg
    IMG_20160110_094231.jpg
    116.5 KB · Views: 118
  • IMG_20160110_094301.jpg
    IMG_20160110_094301.jpg
    98.2 KB · Views: 121
Last edited:
Naona body imekaa vizur vip kanadaiwa TRA?

Duc in Altum
 
Naona body imekaa vizur vip kanadaiwa TRA?

Duc in Altum

yap sijailipia mwaka mmoja 2015/2016 niliyokuwa siitumii baada ya kupata ka passo kapya.. unaweza ukachek balance kwenye simu yako kwa kuingiza namba ya gari au ukaenda tra kwanza ukajiridhizisha kabla hujanunua....

kama mnunuaji anataka niilipie tra ili aibebe bila deni lolote aanze kuendesha ataniongezea laki 3 kwenye bei
 

milion 2 ni hela nyingi sana,, ila utanisamehe kaka bei ni hiyo iliyotajwa.. asante na karibu sana..

gari inauzwa ili hela ielekezwe ilipokusudiwa,,, so ni bora gari ibaki au mradi utimie..

hela ikiwa pungufu ya hapo nitaila tu,, na kuwa nimekosa yote gari na mradi
 
Back
Top Bottom