gari inauzwa bei nafuu 2.5million

gari inauzwa bei nafuu 2.5million

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,825
Reaction score
3,092
toyota chaser gx 90 haina tatizo inatembea kwa mawasiliano zaidi namba hii hapa ipo dar 0714288996
 
Ina uzito WA kg ngapi?

sababu ya kuuza boss kanunua gari nyingine jumla anazo tatu inabidi auze hii abaki na mbili kubwa unaweza kuiona mda wowote kwa kupiga simu hiyo
 
asante kwa mwaliko. mie mwenyewe nauza gari. nikupe tenda hiyo nini? nataka kuanza kutumia pikipiki
sababu ya kuuza boss kanunua gari nyingine jumla anazo tatu inabidi auze hii abaki na mbili kubwa unaweza kuiona mda wowote kwa kupiga simu hiyo
 
Poa sana hata mimi nauza Nissan patrol ya Mwaka 2000 bei 30m Toyota Vitz 5 door namba BGW bei 5.5m Toyota Vitz 3Doors Bei 4.5m namba AZP Toyota Rav 4 Old Model Manual Gear 5 doors Namba A Bei 8M
 
picha kesho tarehe 27.2 saa kumi whatsapp namba hii 0712505049 namba ya mwenye ni hii hapa 0714288996
 
Poa sana hata mimi nauza Nissan patrol ya Mwaka 2000 bei 30m Toyota Vitz 5 door namba BGW bei 5.5m Toyota Vitz 3Doors Bei 4.5m namba AZP Toyota Rav 4 Old Model Manual Gear 5 doors Namba A Bei 8M

Mkuu punguza kidogo hiyo Rav 4 upate mteja.
 
Mkuu punguza kidogo hiyo Rav 4 upate mteja.

Natoa laki tatu njoo na 7.7m faster nipe mawasiliano yako najua hatutashindana muhimu uione Gari pia nina Suzuki Vitara 3doors nzima tatizo lake ni Starter na Road licence karibu miaka mitano haijalipiwa bei yake ni 3m tu
 
Picha basi mkuu
 
Picha si issue sana maana camera zinatoa picha nzuri sana kama unaweza njoo mitaa ya Serena Hotel uje kuiona kabisa

Picha inamata sana mkuu kutanguliza hamasa kabla ya kuhesabu hatua kuja kuiona
Fanza hima basi
 
Nitumie pic sa iv za izo Vitz na iyo Suzuki sa iv mkuu kwenye Whatsap no 0652114918 tufanye biashara

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom