Hiyo gari ni nzur sana ila inadaiwa 120000 na trafic sasa hiyo hela anailipa mnunuzi au mwenye gariView attachment 949308
Kama utainunua trafic watalipwa Kabla hujaichukua
Kwanini uliteseka mkuu? Hayauziki?Mkuu nilikuwa nayo number DE aisee niliteseka nayo kuuza acha tu