K Kassim Awadh JF-Expert Member Joined Mar 12, 2012 Posts 884 Reaction score 187 Oct 23, 2012 #21 King Kong III said: 1G kavu si ndio balaa Katelephone? Ni Jini, wengi wanapenda zenye vvti Click to expand... 1G kavu mkuu imetulia ni 6 sawa lkn mafuta inanusa kam 10Kms per litre
King Kong III said: 1G kavu si ndio balaa Katelephone? Ni Jini, wengi wanapenda zenye vvti Click to expand... 1G kavu mkuu imetulia ni 6 sawa lkn mafuta inanusa kam 10Kms per litre
K Kifarutz JF-Expert Member Joined Aug 7, 2012 Posts 1,736 Reaction score 360 Oct 23, 2012 Thread starter #22 happiness win said: Ngoja nichimbe ki - swimming pool cha kuogelea hilo gari, maana najuz GX 100 hazinywi mafuta bali zinaogelea Click to expand... Majungu hayajengi. Naona nia yako ni kuniharibia biashara, huna lolote na hiyo ni kawaida kwa watu wa aina yako
happiness win said: Ngoja nichimbe ki - swimming pool cha kuogelea hilo gari, maana najuz GX 100 hazinywi mafuta bali zinaogelea Click to expand... Majungu hayajengi. Naona nia yako ni kuniharibia biashara, huna lolote na hiyo ni kawaida kwa watu wa aina yako
Ringo Edmund JF-Expert Member Joined May 10, 2010 Posts 4,879 Reaction score 1,134 Oct 24, 2012 #23 kaka naona wanakuzingua,mzigo tutaushughulikia nitakupigia nikilamba mwenye nazo.