Gari inahitajika uku

Gari inahitajika uku

El nino jr

Member
Joined
Aug 7, 2014
Posts
66
Reaction score
24
Habarini wakuu.

Ninahitaji gari kati ya IST na Spacio. Budget yangu ni 7 Sihitaji dalali, nataka niwasiliane na mmiliki moja kwa moja.

Asanteni.
 
Habarini wakuu.

Ninahitaji gari kati ya IST na Spacio. Budget yangu ni 7 Sihitaji dalali, nataka niwasiliane na mmiliki moja kwa moja.

Asanteni.
Tafuta hela ununue gari wewe, acha kutafuta usafiri
 
20220707_093205.jpg

Nipe hiyo saba mkuu nina shida, gari ni nzuri na nzima
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom